Meneja
wa Bandari ya Tanga,Percival Salama kushoto akimkabidhi vitanda 10 leo
Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah kwa ajili ya kujifungulia
wakina mama wajawazito ambavyo vimetolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa
Bandari nchini (TPA) ambavyo vinagharimu kiasi cha milioni 12.2 kushoto
anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso ambaye
ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CC
(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
No comments:
Post a Comment