leo ambapo jumla ya wanachama wapya 50 walipokelewa kulia ni Mbunge wa
Jimbo la Geita Vijijini (CCM) Joseph Msukuma
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
ambaye pia ni Mbunge wa Viti Malumu (CCM) mkoa wa Tanga akimkabidhi
kadi ya CCM moja ya wanachama wapya waliojiungana chama hicho wakati
alipokwenda kufungua tawi la CCM Kata ya Usagara
leo ambapo jumla ya wanachama wapya 50 walipokelewa kulia ni Mbunge wa
Jimbo la Geita Vijijini (CCM) Joseph Msukuma
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
ambaye pia ni Mbunge wa Viti Malumu (CCM) mkoa wa Tanga akifungua tawi
la CCM Kata ya Usagara leo ambapo pia alipokea wanachama wapya 50
walipokelewa kushoto ni Mbungewa Jimbo la Geita Vijijini (CCM) Joseph
Msukuma kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga Meja Hamisi Mkoba
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazeena Watoto Ummy Mwalimu
ambaye pia ni Mbunge wa Viti Malumu (CCM) mkoa wa Tanga akifungua tawi
hilo
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazeena Watoto Ummy Mwalimu
ambaye pia ni Mbunge wa Viti Malumu (CCM) mkoa wa Tanga akizungumza
mara baada ya kulizindua tawi hilo ambapo aliwataka wana CCM kushikamana
ili kuhakikisha Jimbo la Tanga linarudi kwenye Uchaguzi Mkuu Ujao 2020
Mwenyekiti wsa CCM wilaya ya Tanga Meja Hamisi Mkobaakizungumza katika
uzinduzi huo kulia ni Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazeena
Watoto Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mbunge wa Viti Malumu (CCM) mkoa wa
Tanga
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini (CCM) Joseph Msukuma akizungumza
ambapo aliwataka wana CCM Jimbo la Tanga kushikamana ili kulirejesha
Jimbo hilo
Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Tanga Lupasio Kapange akizungumza
kwenye ufungaji huo wa Tawi la Usagara Jijini Tanga leo
No comments:
Post a Comment