Vijana wakazi wa Kijiji cha Mitundu, wilayani Manyoni,Mkoani Singida wakiwa safarini kwenda Mkoa wa Mbeya kama walikutwa na kamera yetu hivi karibuni ambapo hutembea umbali wa kilomita 420 na safari hiyo huwachukua zaidi ya siku 14 hadi kufika huko, kwa ajili ya kwenda kuuza wanyama hao aina ya Punda wanaotegemewa kuwa nyenzo muhimu ya kusaidia kufanyakazi mbalimbali. Punda mmoja huuzwa kwa bei ya 100,000/- hadi 150,000/- . Vijana hao wamedai kwamba safari hiyo wanayotembea kwa miguu,itawachukua zaidi ya siku 14 hadi kufika huko. PICHA/JUMBE ISMAILLY |
No comments:
Post a Comment