Tangazo

September 8, 2011

NMB yazindua 'Business Club' mkoani Shinyanga

Sehemu ya washiriki ambao ni wateja wa NMB waliohudhuria uzinduzi huo uliokwenda sambamba na mafunzo maalum kwa washiriki hao jinsi ya kuboresha biashara zao na jinsi ya kujipatia mikopo zaidi.
Meneja wa NMB tawi la Manonga, James Subi, (wapili kulia) akimshukuru Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Amina Masenza baada ya kuzindua rasmi Klabu ya Wafanyabiashara wa Benki ya NMB mkoani Shinyanga juzi.  Klabu hiyo inalengo la kuboresha mahusiano na mawasiliano kati ya Benki na wateja wake. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Jamii wa Benki ya NMB, Shy-Rose Banji na (kulia) ni Meneja wa NMB Mikopo Midogo, Mashaga Changarawe.
Meneja wa NMB Mikopo Midogo, Mashaga Changarawe akitoa mada yake juu ya utoaji wa Mikopo.

No comments: