| Picha Marehemu Han Bing. |
| Waombolezaji wakiwa na majonzi. |
| Mmoja wa Wanafamilia akimbembeleza mtoto wa marehemu, lady Han Bing. |
| Wanajumuiya ya Wachina wanaishi Tanzania wakiwa kwenye Misa. |
| Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akimpa pole mume wa marehemu. |
| Mama Salma Kikwete akiwa katika misa pamoja na viongozi mbalimbali. |
| Baadhi ya ndugu wa karibu wakiomboleza. Kushoto ni Mume wa marehemu, Mr. Bing. |
No comments:
Post a Comment