| Sehemu ya ndani ya kiwanda hicho. |
| Mkurugenzi wa Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda akisoma risala. |
| Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Richard Wills. |
| Sehemu ya washiriki katika hafla ya uzinduzi huo. |
| Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa Waandamizi wa SBL. |
| Muonekano wa sehemu tu ya kiwanda hicho. |
| Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipanda mti kama alama ya uzinduzi huo. |
| Akiumwagilia maji baada ya kuupanda. |
| Wasanii wa ngoma ya asili ya Mtingo ya wenyeji wa Mbokomu Moshi Mkoani Kilimanjaro wakitumbuiza katika uzinduzi huo. |
No comments:
Post a Comment