| Mwimbaji nyota wa Twanga Pepeta, Charles Baba akijichana minyama. |
| Mambo ya Safari Lager ndani ya kopo. |
| Wengine waliburudika kwa mchezo wa Pool. |
| Mdau Upendo Lyimo akijikinga ili kamera ya Daily Mitikasi Blog isimnase lakini baadaye alikubali yaishe. |
| Meneja Uhusiano wa TBL, Edith Mushi (kushoto), akijadiliana jambo na mwenzake. |
| Mambo ya kujisevia. |
| Mdau Richard Kasesela (kulia) naye alishindwa kuvumilia na kujikuta akienda kuchagua nyama iliyonona. |
| Wanamuziki wa Twanga Pepeta wakilishambulia jukwaa. |
| Mkaanga 'Chipsi' wa Twanga Pepeta, Kibosho akiwa kazini. |
| Wanamuziki wakongwe wa Twanga Pepeta, Luiza Mbutu (kulia) na Liliani Internet wakilishambulia jukwaa katika tamasha hilo. |
Mdau Lumbu (kulia) na my wife to be wake udenda ukiwatoka kufuatia nyama iliyonona katika moja ya majiko yaliyokuwepo katika tamasha hilo. |
No comments:
Post a Comment