![]() |
| Viongozi wa wataopandisha mwenge wa Uhuru Mlima Kilimanjaro. |
![]() |
| Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange ambaye atawakabidhi wapandishaji Mlima Kilimanjaro. |
![]() |
| Kikosi cha wataopandisha Mwenge wa Uhuru katika Mlima Kilimanjaro. |
![]() |
| Rais Jakaya Kikwete, akiwa na Mwenge wa Uhuru baada ya kukabidhiwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge. |
![]() |
| Rais Kikwete akipokea mwenge wa uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio hizo mwaka huu. |
![]() |
| Mama Maria Nyerere na Mama Salma Kikwete na wageni wengine mashuhuri jukwaa kuu. |








No comments:
Post a Comment