Tangazo

January 9, 2012

UZINDUZI WA BARABARA YA KENGEJA-MWAMBE PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Barabara ya Kengeja-Mwambe,kwa mashirikiano kati ya Serikali a Mapinduzi na Shirika la misaada la Norway (NORAD),ikiwa ni katika shamara shamra za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(watatu kulia) Balozi wa Norway Nchini Tanzania Bibi Igun Klepsvik.PICHA/RAMADHAN OTHMAN WA IKULU ZANZIBAR

Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akipeana mkono wa kupongezana na Balozi wa Norway Nchini Bibi Igun Klepsvik,baada ya kuifungua rasmi wa Barabara ya Kengeja-Mwambe,kwa mashirikiano kati ya Serikali ya Mapinduzi na Shirika la misaada la Norway (NORAD),ikiwa ni katika shamara shamra za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akipena mkono wa pongezi na Waziri wa Miundumbiu na Mawasiliano Hamad Masoud Hamad,baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Barabara ya Kengeja-Mwambe,na kuifungua rasmi,iliyojengwa kwa mashirikiano kati ya Serikali a Mapinduzi na Shirika la misaada la Norway (NORAD),ikiwa ni katika shamara shamra za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akitembea katika barabara ya Kengeja – Mwambe,akifuatana na Waziri wa Miundombinu ,Mawasiliano, Hamad Masoud Hamad na Balozi wa Norway Nchini Bibi Igun Klepsvik, baada ya kuifungua rasmi,iiyojengwa kwa mashirikiano kati ya Serikali ya Mapinduzi na Shirika la misaada la Norway (NORAD),ikiwa ni katika shamara shamra za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Maelfu ya wananchi wliofurika katika viwanja vya mpira vya Mtambile,wakati wa Mkutano wa sherehe za uzinduzi wa Barabara ya Kengeja Mtambile,Kengeja –Mwambe,Mizingani-Wambaa,Kenya –Chambani,ikiwa ni shamra shamra za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama  Uzinduzi wa Barabara ya Kengeja-Mwambe,kwa mashirikiano kati ya Serikali a Mapinduzi na Shirika la misaada la Norway (NORAD),ikiwa ni katika shamara shamra za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, (kushoto) Balozi wa Norway Nchini Tanzania Bibi Igun Klepsvik.

No comments: