Tangazo

January 27, 2012

Waziri Membe nchini Ethiopia

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe akiwa katika picha ya Pamoja na  Balozi wa Tanzania kwenye Umoja wa Afrika na Ethiopia, Mhe. Joram Biswaro, (kulia kwa waziri), kushoto kwake ni  Msimamizi wa Mafunzo ya Lugha wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Mhe. Linus Chata. Waliosima Kulia ni Bi Elizabeth Magoke (mwalimu wa Kiswahili), Bi Suma Mwakyusa, Afisa Ubalozi na Mratibu wa Mafunzo ya Kiswahili na Bi Ikunda Mtenga (Mwalimu wa Kiswahili ). Elizabeth na Ikunda ni walimu wanaojitolea kufundisha Lugha ya Kiswahili kwenye Umoja wa Afrika. Picha na Assah Mwambene

No comments: