Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania, ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo,chini Makamo Mwenyekiti wa baraza hilo,Chande Omar (wa pili kulia) pia Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazji ya Zanzibar. Picha/Ramadhan Othman wa Ikulu Zanzibar |
No comments:
Post a Comment