Mabondia, Selemani Galile (kushoto) na Tomasi Mashali wakitambiana wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Machi 14.12, kuhusu mpambano wa kuwania mkanda wa ubingwa wa mchezo wa masumbwi wa Oganaizesheni ya Ngumi za Kulipwa Nchini (TPBO), utakaofanyika Aprili 9 mwaka huu. Katikati ni Rais wa Oganaizesheni hiyo, Yasin Abdallah Mwaipaya. Picha kwa hisani ya superdboxingcoach.blogspot.com |
No comments:
Post a Comment