Tangazo

May 8, 2012

Grand Malt yapanda Miti 30 -UDOM

Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt, Consolata Adam (kushoto), akipanda mti katika eneo la Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (U-DOM) mjini Dodoma mapema leo asubuhi wakati wa zoezi la upandaji mitikatika eneo hilo ikiwa ni sehemu ya utunzaji wa mazingira. Katikati ni Mwakilishi wa TBL Kanda ya Kati, Nickson Tesha na mmoja wa wanafunzi wa Chuo hicho, Anne Sanga.

No comments: