Tangazo

May 11, 2012

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL ATOA MSAADA KWA VITUO VIWILI VYA WATOTO YATIMA DAR

Msaidizi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, eneo la Makaazi, Peleleja Masesa (kushoto) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vyakula, Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha kulelea Watoto Yatima cha Orphanasi Trust Fund Msongola, Deusdelit Mitauto, kwa niaba ya Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Makabidhiano hayo yalifanyika jana jijini Dar es Salaam. Picha na Amour Nassor-OMR
Msaidizi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, eneo la Makaazi, Peleleja Masesa (kushoto) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vyakula, Mkuu wa Kituo cha kulelea Watoto Yatima cha Group Trust Fund-Chamanzi, Fredy George, kwa niaba ya Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Makabidhiano hayo yalifanyika jana jijini Dar es Salaam. Picha na Amour Nassor-OMR

No comments: