Afisa Mwendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF), Kanda ya Mashariki na Kati , Paulina Msanga (kushoto) akipeana mkono na Mwanafunzi wa Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Kikundi , Latifa Athumani ikiwa ishara ya kukabidhi msaada wa madawati 30 yenye thamani ya Milioni 8/- shuleni hapo katika Manispaa ya Morogoro. Wanaoshuhudia ni Afisa Mwendeshaji wa Mfuko huo, Astronaut Liganga (wa pili kulia) na Mkuu wa Shule hiyo, Donald Kulwa. |
No comments:
Post a Comment