Tangazo

May 8, 2012

WAZIRI MKUU PINDA AMTEMBELEA WAZIRI PROF. MWANDOSYA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam  kumjulia hali May 7, 2012. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Waziri  Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam  kumjulia hali May 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam  kumjulia hali , May 7, 2012. Katikati ni Mke wa Waziri huyo, Mama Lucy Mwandosya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: