Tangazo

June 7, 2012

MABONDIA WA KAMBI YA ILALA WAENDELEA KUJIFUA KWA AJILI YA MPAMBANO WA KUMI BORA-JUNE 15

Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini, Rajabu Mhamila 'Super D'  (Kushoto) akimwelekeza jinsi ya kutupa makonde bondia Said Mtitu wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Kambi ya Ilala Dar es salaam jana  ya kujitaharisha na mashindano ya kumi Bora yatakayofanyika june 15 katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini, Rajabu Mhamila 'Super D'  (kulia), akimwelekeza jinsi ya kutupa makonde bondia Said Mtitu wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Kambi ya Ilala Dar es salaam jana  ya kujitaharisha na mashindano ya kumi Bora yatakayofanyika june 15 katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni.

No comments: