Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa Rev.Keishi Miyamoto, Rais wa Arigatou International and Chairman of the Board of Myochikai kutokana na mchango wake mkubwa juu ya malezi ya watoto wakati wa chakula cha jioni kilichofanyika katika hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa Global network of Religions for Children (GNRC) tarehe 17.6.2012. |
No comments:
Post a Comment