![]() |
| Mwili wa aliyekuwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, Willy Edward ukuwasili Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam kuhifadhiwa, ukitokea Morogoro alikopatwa na mauti jana. |
![]() |
| Waandishi wa habari, Asha Kigundula wa Jambo Leo na Mwani Nyangasa wa Mtanzania wakilia kwa uchungu. |
![]() |
| Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Concepts, Benny Kisaka (kulia) akimfariji mdogo wa marehemu Willy Edward, Ezekiel Ogunde. |



No comments:
Post a Comment