Rais mpya wa Klabu ya Rotary ya Mzizima Dar es Salaam, Ambrose Nshala (katikati) akivalishwa medali kama ishara ya kumsimika kuchukua nafasi hiyo na Rais aliyemaliza muda wake, Dk. Emelia Mugonzibwa katika hafla ya chakula cha jioni iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mmoja wa viongozi Rotary, Hatim Karimjee. |
No comments:
Post a Comment