Tangazo

February 22, 2013

BALOZI SEFUE AKUTANA NA MKUU WA PEMANDU TOKA MALAYSIA DK. IDRIS JALA


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiongea na Dkt Idris Jala wa kitengo cha usimamizi na utekelezaji kiitwacho PEMANDU (Performance Management and Delivery Unit) cha Malaysia na ujumbe wake ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 21, 2013. Katikati ni Dkt Philip Mpango, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango. PICHA NA IKULU

No comments: