Tangazo

April 29, 2013

Kiwanda cha Kibuku chazaliwa upya jijini Dar


 Wakala wa Uuzaji kinywaji cha asili cha Kibuku kinachozalishwa na Kiwanda cha Dar Brew, Samwel Marwa akinywa kinywaji hicho wakati wa semina ya siku moja ya kuboresha biashara ya kinywaji hicho mwishoni mwa wiki kwenye Hoteli ya Double View, Sinza, Dar es Salaam. Marwa anamiliki baa iitwayo Samwel Saccos iliyopo Nyantira, Jimbo la Ukonga. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

 Baadhi ya mawakala wakifaidi kinywaji hicho

 Mkurugenzi wa Bia za Asili za Kampuni ya Bia Tanzania, Kirowi Suma akitoa maelezo kwa baadhi ya mawakala jinsi ya kuboresha biashara ya kinywaji cha Kibuku.
 Baadhi ya mawakala wakinywa Kibuku na Bia baada ya semina kumalizika
                                                    Mawakala wakipata mlo
                          Sasa ni wakati wa msosi na hatimaye kushushia na Kibuku na Bia.
 Mkurugenzi wa Bia za Asili za Kampuni ya Bia Tanzania, Kirowi Suma (katikati), akimsikiliza Meneja Mipango na Fedha wa Kiwanda cha Dar Brew, Andrew Asalile (kulia) walipokuwa wakijadiliana jambo wakati wa semina hiyo. Kushoto ni Sichilima Kazonda ambaye ni Meneja wa Operesheni.
 Kibuku na bia zinayweka pamoja
                                                                  Makreti ya Kibuku
                            Mmoja wa mawakala akimimina Kibuku kwenye glasi tayari kwa kunywa
Mkurugenzi Mtendaji wa Hoteli ya Double View, Venance Msaky akinywa Kibuku baada ya semina ya kuboresha biashara ya kinywaji kumalizika  mwishoni mwa wiki kwenye hoteli hiyo. Kulia ni Reginald Mosha ambaye ni Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Dar Brew kinachonunuliwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)Machi 15, mwaka huu. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)


No comments: