Meneja Masoko wa Airtel, Upendo Nkini (kulia), akimpongeza mshindi wa nyumba ya pili ya Airtel Yatosha, Agnes Lyimo alipotembelea Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam leo. Airtel ilichezesha droo ya pili ya Airtel yatosha wiki iliyopita ambapo Agnes Lyimo mkazi wa Dar es salaam aliibuka mshindi wa nyumba hiyo iliyoko kigamboni jijini Dar es salaam. |
No comments:
Post a Comment