Mwenyeki wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Amiri Manento (Jaji Kiongozi Msaafu) akimkaribisha mgeni rasmi Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria Angellah Kairuki na wageni waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Kijitabu cha “Mwongozo wa Utawala Bora” uliofanyika makao makuu ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) mtaa wa Luthuli leo jijini Dar es Salaam. (Katikati) ni Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria Angellah Kairuki, Wa kwanza kushoto ni Makamu Mwenyeki wa THBUB Mahfoudha Alley Hamid. |
No comments:
Post a Comment