Mkuu wa wilaya ya Morogoro Said Amanzi (wa pili kulia) na dereva wa
kampuni ya Tasia Hogistic ya jijini Dar es Salaam, Verry Philiph (39)
wakikabidhiwa cheti baada ya kupimwa shinikizo la damu na wateknolojia
wa maabara wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro, Theodol Babwanga
kushoto na Daniel Mwita wakati mkuu huyo alipozindua mpango wa upimaji
wa afya kwa madereva wa malori makubwa katika mizani ya Mikese
kufuatia kampuni ya TBL kuendesha zoezi la upimaji wa afya kwa
madereva wa malori ikiwa kuanza kwa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa
usalama barabarani ikibeba ujumbe wa "usalama unaanza kwangu kisha
kwako na sisi sote" mkoani Morogoro.Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa
Uhusiano na Sheria wa TBL. Steve Kilindo.
Mkuu wa Usalama Barabarani Chalinze, Innocent Sule akiwa
anazungumzana baadhi ya madereva wa mabasi yanayofanya safari zake
kati ya mikoa ya Dar es Salaam na Arusha zoezi lililofanyika katika
mizani ya
Kiangaiko iliyoko Msata Bagamoyo. Kampuni ya Bia Tanzania TBL, sh.
mil. 13 kwa uongozi wa Hospitali Teule ya Tumbi kwa lengo la
kufanikisha kupima madereva wanaotarajiwa kufikia 800 ikiwa na lengo
la kupunguza kama si kumaliza ajali.
Mmoja wa madereva akichukuliwa vipimo na daktari |
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Said Amanzi kushoto na dereva wa
kampuni ya Tasia Hogistic ya jijini Dar es Salaam, Verry Philiph (39)
kulia wakipimwa shinikizo la damu na wateknolojia wa maabara wa
hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro, Theodol Babwanga kushoto na
Daniel Mwita wakati mkuu huyo alipozindua mpango wa upimaji wa afya
kwa madereva wa malori makubwa katika mizani ya Mikese kufuatia
kampuni ya TBL kuendesha zoezi la upimaji wa afya kwa madereva wa
malori ikiwa kuanza kwa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama
barabarani ikibeba ujumbe wa "usalama unaanza kwangu kisha kwako na
sisi sote" mkoani Morogoro. Wa tatu kulia ni Mkurugenzi wa Uhusiano na
Sheria wa TBL. Steve Kilindo.
MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani Ahmed Kipozi (kulia)
akizungumza na mmoja wa Daktari wakati alipokwenda kushuhudia zoezi la
upimaji afya kwa madereva, makondakta na watu mbalimbali kwenye siku
ya kwanza ya wiki ya nenda kwa usalama ambayo imefanyika katika mizani
ya Kiangaiko iliyoko maeneo ya Msata Wilaya ya Bagamoyo mkoani
Pwani.Katikati ni Meneja Uhusiano wa TBL,Doris Malulu.
No comments:
Post a Comment