Mkurugenzi wa Uhussiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tannzania, Steve Kilindo (kulia) akimkabidhi moja kati ya fulana 1000 zenye thamani ya sh. milioni 9 , Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, Dar es Salaam.
Kilindo akizungumza baada ya kukabidhi
No comments:
Post a Comment