Tangazo

September 17, 2013

WIKI YA USALAMA BARABARANI; HOSPITALI ZA TUMBI NA MOROGORO ZANUFAIKA NA TBL

 Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kulia), akikabidhi hundi yenye thamani ya Mil.13/- kwa Daktari wa Upasuaji katika hospitali ya  Tumbi Kibaha mkoani Pwani, Dkt. Petter Datan. Katikati ni Mkuu wa Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani mkoani Pwani, Nassoro Sisiwaya. (PICHA NA MWENGE SAID).

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro. Dkt. Godfrey Mtey (kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh.14.6 milioni kutoka kwa Afisa Uhusiano wa kampuni ya bia ya TBL, Doris Malulu ili kuweza kutumika wakati wa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani ikihusisha madereva wa magari kupima afya katika mizani ya Mikese mkoa wa Morogoro. Katikati ni Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Morogoro, Boniface Mbao.

No comments: