Tangazo

February 8, 2014

Hali si shwari Afrika ya Kati

Wanajeshi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, wamemuua mwanamume mmoja anayetuhumiwa kuwa muasi wa Seleka huku ghasia zikikithiri nchini humo.

No comments: