Tangazo

February 3, 2014

RAIS KIKWETE AKAGUA MAANDALIZI YA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya kukalia katuka  Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa marekebisho  tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu. PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali za majengo ya Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa marekebisho  tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi inayokarabati na kufanyia marekebisho ukumbi wa bunge mjini Dodoma tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.

No comments: