Tangazo

June 20, 2014

WIKI YA UTUMISHI WA UMMA: TCRA YATOA ELIMU KWA WATEJA WAKE JUU YA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KWA WANANCHI

Mtaalamu wa Vifaa vya Mawasiliano kutoka Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA ,Mashaka Kulanga akifafanua jambo kwa wanafunzi wa sekondari ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, wakati walipotembelea banda hilo kwenye Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Afisa Mhandisi Mwandamizi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA. Mwesiga Borongo akitoa maelezo kwa wananchi waliofika katika banmda lao lililopo katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma juu ya shhuguri zinazofanywa na TCRA .

No comments: