Mbunifu nguli wa
mitindo Afrika, Mustafa Hassanali akizungumza na wageni waalikwa kuhusiana na
huduma mpya ya kuwa karibu naye kwa mashabiki wa mitindo kupata taarifa zake
kupitia simu zao za mkononi za Airtel kwa kupiga *148*82# na
moja kwa moja utakuwa umeunganishwa na huduma hiyo na kutozwa shilingi 90 za
kitanzania kwa siku.
Xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Kampuni ya simu ya
mkononi ya Airtel inayotoa huduma nafuu na yenye wigo mpana zaidi wa
mawasiliano, imeshirikiana na mbunifu wa mitindo Afrika ,Mustafa Hasanali
katika kusheherekea miaka 15 ya mafanikio yake makubwa katika sekta ya mitindo.
Mustafa Hassanali
amefanya maonyesho katika miji 27 katika nchi 18, na kugusa maisha ya watu
mbali mbali kwa njia tofauti. Na anaendelea kuwa maarufu katika sekta ya
mitindo nchini na Afrika kwa ujumla.
Ushirikiano huo kati ya
Airtel na Guru wa mitindo Tanzania na nje ya Tanzania, utawezesha wateja
wa Airtel na washabiki wa mitindo kuwa karibu zaidi na ulimwengu wa
mitindo kwa kupata habari mbali mbali na za kisasa kupitia simu zao za
mikononi.
Akiongea kuhusu muungano
huo Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Tanzania Adriana Lyamba, alisema
“mitindo ni moja kati ya vipengele muhimu katika maisha yetu, zikiwemo nguo,
vifaa na vyombo mbalimbali. Kila mtu anataka kupendeza na kujihusisha na
mitindo ya kisasa.
Ila , hivi sasa
upatikanaji wa habari na huduma za mitindo ni mgumu sana. Hivyo Airtel tumekuwa
wa kwanza katika kuwapatia wananchi huduma hii kupitia simu zao za mkononi
itakayowasaidia kupata habari mbali mbali za mitindo kwa ujumla . Huduma hii
inajulikana kwa jina la “Airtel Fasheni”. Tunaamini kuwa , huduma hii
itawasaidia wateja wetu wote ambao wangependa kupata habari mbali mbali na
kuwafikia wabunifu wa mitindo ili kupata ushauri na pia kununua bidhaa zao.”
Mustafa Hassanali,
mbunifu mitindo mahiri Afrika alisema , “ Airtel fasheni ni huduma ya kipekee
ambayo wateja wa Airtel wanaweza kuipata mahali popote na wakatii wowote kwa
kupiga *148*82#. Huduma hii ni Tsh.90 kwa siku.”
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Airtel Partners with Pan
African Fashion Guru
Airtel Tanzania the most innovative and quality service provider
has partnered with the Pan African fashion designer Mustafa Hassanali in
celebrating 15 years of great accomplishments in the fashion
Industry.
Mustafa Hassanali has been showcased in 27 cities In 18
Countries, touching various lives positively, he has emerged a Power
house in Tanzanian and African Fashion Industry,
The parnership forged will enable Airtel customers and fashion
enthusiasts in Tanzania to be closely connected to Mustapha Asannali and his
work through their mobile phones.
Speaking on the
patenership,Levi Nyakundi, the Director of Marketing, Airtel Tanzania
said: “Fashion constitutes a key element of our daily lives, be it in
the form of our clothing, accessories or wearable gadgets.
Everyone aspires to look good and embody the latest fashion
trends.
However, in the current setting, access to fashion
information and services is very limited. To address the need of our
customers in Tanzania we at Airtel are launching an
innovative Fashion service “Airtel Fasheni”with Mustafa Hassan Ali to
mark his 15 years in fashion. We believe, this will benefit all
our customers who wish to stay updated on Fashion news and
content, reach out to the fashion designers for
advice and even order outfits.”
Mustafa Hassan Ali,
the pan Africa Fashion Guru said “Airtel Fasheni is a USSD based interactive and
content (information) delivery service which can be accessed by Airtel Tanzania
customers anytime anywhere at their own convenience on dialing
*148*82#. The basic service is priced at Tsh 90 for a
day."
No comments:
Post a Comment