Tangazo

September 24, 2014

KUTOKA KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO

Mwenyekiti wa kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba, Andrew Chenge  akiwasilisha Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  iliyoandaliwa na Bunge hilo, bungeni mjini Dodoma Sep 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wajumbe wa Bunge  Maalum  la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta bungeni mjini Dodoma Sep. 24, 2014.
Wajumbe wa Bunge  Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo  na Ahmed Shabiby wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wajumbe wa Bunge  Maalum la Katiba,Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Margaret Sitta  wakiteta kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Sep. 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Esther Juma (Wanne kushoto ) na  Mabinti wa mbunge huyo, Nandoye Laban (kushoto), Imani Laban  (wapili kushoto) na Lulu Laban (watatu kushoto) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014. Wapili kulia ni mjumbe wa Bunge la Bunge Maalum la Katiba, Margaret Sitta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Msanii wa Bongo Movie, Mzee Chilo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la  Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Peter Serukamba  na Said Juma Nkumba (kushoto) wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Wajumbe wa Bunge maalum la katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na Paul Makonda wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Sep. 24, 2014. Kutoka kushoto ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete na Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Ridhiwani Kikwete wakifurahia jambo katika mazungumzo kwenye  viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na  John Momose Cheyo wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: