Kaimu Mhazini Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Ivan
Tarimo (kushoto) akimwagiwa maji baridi na mmoja wa mfanyakazi mwenzake katika
hafla ya kumwagiana maji baridi iitwayo ‘Ice Bucket Challenge’ yenye makusudi
ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia wanawake wanaosumbuliwa na ugonjwa
wa fistula. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment