Tangazo

November 19, 2014

Bingwa wa Michezo ya Pikipiki kutoka Afrika Kusini alivyong’ara Coco Beach jijini Dar

Bingwa wa Michezo ya Pikipiki kutoka Afrika Kusini, Brian Capper akionyesha umahiri wake wa kucheza na piki piki katika onyesho lililoandaliwa na Klabu ya Michezo ya Piki Piki na Sarakasi Tanzania na kudhaminiwa na Mohan’s Oysterbay Drinks Ltd katika ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam juzi. Bw. Capper leo atafanya onyesho kubwa katika viwanja vya Manzese Darajani.  PICHA ZOTE/JOHN BADI – HANS PR

No comments: