Tangazo

April 29, 2015

DK SHEIN AWASHA MWENGE WA UHURU 2015

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein akiwasha Mwenge wa Uhuru Kitaifa katika uwanja wa Majimaji mjini Songea Mkoani Ruvuma mapema wiki hii. Kushoto ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara na Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar, Zainab Mohammed. PICHA/IKULU ZANZIBAR
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Kiongozi wa Mbio za mwenge wa Uhuru Kitaifa  Juma Khatib Chum baada ya kuuwasha leo katika uwanja wa Majimaji Songea Mkoa wa Ruvuma.

No comments: