Tangazo

June 17, 2015

BENKI YA CRDB TAWI LA MLIMANI CITY YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

Keki iliyoandaliwa na wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika.
Watoto Halima Revocatus (7) na Filex Mustach (6) wakikata keki wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto Afrika yaliyofanyika katika tawi la Benki ya CRDB Mlimani City jijini Dar es Salaam, Benki ya CRDB uadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika kila mwaka. Ujumbe wa mwaka huu ni Timiza Ndoto Yako na Junior Jumbo Account. Nyuma ya watoto hao ni Naibu Mkurugenzi Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhyay na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango.
Ofisa Masoko Mwandamizi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Angela Mnamba akiwasaidia watoto kukata keki wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto Afrika ambayo uadhimishwa kila ifikapo Juni 16 ya kila mwaka ambapo benki hiyo hufanya maadhimisho hayo kwa kusherehekea  na watoto pamoja na wateja. 
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango akimlisha keki mmoja wa watoto katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Mtoto Afrika iliyoadhimishwa katika tawi hilo kwa kuwashirikisha watoto pamoja na wateja.
Watoto wakiilishwa keki na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango.
Naibu Mkurugenzi Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhyay akimlisha keki mmjo wa watoto waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya Siku ya Mtoto Afrika katika Benki ya CRDB tawi la Mlimani City.
Naibu Mkurugenzi Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhyay akimlisha keki mtoto Filex Mustach (6) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mtoto Afrika.
Aneth Njau (17) akilishwa keki na Naibu Mkurugenzi Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhyay.
Aneth Njau (17) akipkea zawadi ya vifaa vya shule kutoka kwa Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango.
 Mtaalam wa kuchora, Innocent Cralence akimchora mtoto Halima Revocatus (7) ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Siku ya Mtoto. Afrika. 
 Mtoto Marry Angel Joseph Mchomvu (2) akilishwa keki na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango.
 Watoto wakipokea vifaa vya shule.
 Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango akipokea juice kutoka kwa Ofisa wa Benki. Katikati ni Naibu Mkurugenzi Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhyay. 
 Naibu Mkurugenzi Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhyay (kushoto), Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango (wa pili kushoto) wakijumuika na wafanyakazi wa Benki hiyo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto Afrika yaliyofanyika katika tawi la Mlimani City.
 Wateja pamoja na watoto wakipata zawadi ya keki kutoka kwa Ofisa wa Benki ya CRDB. 
 Mtoto  Halima Revocatus (7) 
 Wateja wakipata zawadi za juice.
Ofisa Masoko Mwandamizi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Angela Mnamba akimpa zawadi mtoto, Dylla Patel.
 Tunasherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika.
 Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja.
 Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa wamepozi kwa picha.
 Mtaalam wa kuchora, Innocent Cralence akimchora  mtoto Filex Mustach (6) ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Siku ya Mtoto. Afrika. 
 Mtoto akipokea keki.
 Mtoto Miguel Karim Milton akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa wa Benki ya CRDB wakati wa maadhimisho ya Siku Mtoto wa Afrika.
  Mtoto Miguel Karim Milton akiwa na furaha baada ya kupokea zawadi kutoka Benki ya CRDB tawi la Mlimani City ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika.

No comments: