Tangazo

October 15, 2015

Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo la ChumbuniAliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Perera Ame Silima akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakati wa mkutano wa Kampeni wa jimbo hilon uliofanyika katika viwanja vya mpira Bamata Kwamtipura Unguja akimuombea Kura Mbunge wa Jimbo hilo Ussi Salum Pondeza AMJADI na Mwakilishi Miraji Kwaza kwa Wananchi wa Chumbuni. 
Viongozi wa CCM Wilaya ya Amani Unguja wakimsikiliza aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Mhe Perera Ame Silima akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Chumbuni katika mkutano wa kasmpeni ya Wagombea Ubunge Uwakilishi na Udiwani. 
Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakifuatilia mkutano wa kampeni ya Wagombea wa Jimbo la Chumbuni katika viwanja vya mpira vya Bamita kwamtipura. 
Naibu Katibu Mkuu Wazazi Zanzibar Najma Giga akiwahutubia Wananchi wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar katika mkutano wa kanmpeni wa Jimbo hilo uliofanyika viwanja vya Bamita kwamtipura Unguja na kuwataka kukipigia kura Chama cha Maspinduzi na Wagombea wake wote. 
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Ndg Mohammed Chombo akiwahutubia Wananchi wa Jimbo la Chumbuni kabla ya kuwatambuliwa Wagombea na kuwaombea kura na kuwataka kumpigia kura ya Ndio Dk Ali Mohamed Shein, kwa maendeleo ya Zanzibar na viongozi wote wa CCM katika uchaguzi Mkuu wa Zanzibar unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu. 
Wagombea Uwakilishi na Ubunge wakiwa katika viwanja vya Bamiti wakati wa mkutano wao wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Bamita kwamtipura Unguja.
Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Chumbuni Miraji Kwaza akiwahutubia Wananchi wa Jimbo hilo akitangaza Sera za CCM za Ilani ya CCM ya Uchaguzi. wakati wa mkutano wao wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya mpira bamita kwamtipura. 
 Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakifuatilia m,kutano wa Kampeni wa Jimbo lao.
 Viongozi wa CCM Wilaya ya Amani wakifuatilia mkutano wa Kampeni ya Wagombea Ubunge Uwakilishi na Udiwani wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar wakati wa mkutano wa kampeni ya Jimbo hilo uliofanyika katika viwanja vya mpira bamati.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chumbuni akiwahutubia Wananchi katika viwanja vya Bamita Jimbo la Chumbuni Zanzibar.
Mgombea Ubunge Jimbio la Chumbuni Ussi Salum Pondeza AMJADI akiwahutubia wananchi wa jimbo la chumbuni katika mkutanon wake wa kampeni ya kugombea Ubunge Chumbuni uliofanyika viwanja vya Bamita. 
  
 Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakisherehekea ahadi za Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Chumbuni Ndg Ussi Salum Pondeza AMJADI, wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofabnyika katika viwanja vya bamita kwamtipura.
 Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakimshangilia mgombea Ubunge wa Jimbo hilo wakati akiwahutubia na kutoa Sera za CCM katika kuliletea maendeleo Jimbo hilo.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Ndg Ussi Salum Pondeza AMJADI askisalimiwa na viwaja wa jimbo hilo la Chumbuni baada ya mkutano wake wa Kampeni uliofanyika katika viwanja vya Bamita kwamtipura Unguja akiendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa za Wananchi kumchagua.
Imetayarishwa na Othmanmapara.Blogspot. Zanzinews.com
Mobile No 0777424152 or 0715424152.
Email. othmanmaulid@gmail.com.

No comments: