|
MENEJA
wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Tanga (NHIF) Ally Mwakababu
akisisitiza jambo wakati wa semina ya waratibu wa CHF mkoa mzima wa
Tanga ikiwa na lengo la kuwajengea uwezo |
|
Mratibu
wa GIZ Mkoa wa Tanga,Apolinary Primus Rutakuburwa ambao wanasapoti
huduma za afya na matibabu kulia akisisitiza jambo wakati wa semina hiyo
kushoto ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Tanga
(NHIF) Ally Mwakababu akifuatilia kwa umakini |
|
Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya Mkoa wa Tanga,Miraji Msile akiwaelekeza jambo waratibu wa
CHF wakati wa semina ya
waratibu wa CHF mkoa mzima wa Tanga ikiwa na lengo la kuwajengea uwezo
|
|
Maafisa
kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Tanga wakiongozwa na
Dr.Sana kulia wakifuatilia semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa
Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo. |
|
Mratibu wa CHF Mkoa wa Tanga,Apolinary
Primus Rutakuburwa kulia akisisitiza jambo kwa
waratibu wa CHF mkoa wa Tangawakati wa semina iliyokuwa na
lengo la kuwajengea uwezo. |
|
Waratibu
wa CHF Mkoa wa Tanga wakinakili maelezo kutoka kwa Meneja wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Tanga (NHIF) Ally Mwakababu wakati wa
semina iliyokuwa na lengo la kuwajengea uwezo waratibu wa mkoa
mzima |
Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
No comments:
Post a Comment