Tangazo

September 27, 2016

NSSF YANOGESHA MBIO ZA ROCKY CITY MARATHON

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella (kushoto), akitoa zawadi kwa washindi wa Rock City Marathon zilizofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza jana na kudhamini na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).
 Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Dk. Leonard Masale (kushoto), akiwa pamoja na baadhi ya waandaji na washiriki wa mbio za Rock City Marathon katika viwanja vya CCM jijini Mwanza.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella (katikati) akiwa na mwanariadha wa zamani, Juma Ikangaa (kulia), na washiriki wengine wa mbio za Rock City Marathon zilizofanyika jijini Mwanza juzi na kudhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF). 
Meneja Matekelezo wa NSSF, James Oigo (katikati) mara baada ya kushiriki mbio za mbio za Rocky City Marathon jijini Mwanza na kudhaminiwa na NSSF.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella (kulia) akiwa na Meneja Matekelezo wa NSSF, James Oigo (katikati) na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi muda mfupi kabla ya kuanza kushiriki mbio za Rocky City Marathon zilizodhaminiwa na NSSF.

No comments: