Tangazo

January 18, 2018

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza latoa wiki moja shule binafsi kukarabati magari ya wanafunzi

Jeshi la polisi mkoani Mwanza limewataka wamiliki wa shule binafsi mkoani Mwanza kuhakikisha wanafanya ukarabati wa magari ya kubebea wanafunzi yenye hitilafu ndani ya muda wa wiki moja.

No comments: