Tangazo

January 15, 2018

NJIA YA RELI YASOMBWA NA MAJI KILOSA HUDUMA YA USAFIRI YASITISHWA


Njia ya Reli ikiwa katika hali mbaya baada ya kusombwa na maji ya mvua zilizonyesha nchini majuzi na kusababisha kukosekana kwa mawasiliano kati ya vijiji vya Morogoro.

No comments: