Tangazo

September 7, 2011

KANDARASI BORA WA KIKE HUYU HAPA..........

Mkandarasi  Bora Mwanamke nchini kutoka kampuni ya IIBRA Building Contractor and General Supplies LTD Bi Maida Waziri akionyesha cheti chake baada ya kukabidhiwa na Rais Jakara Kikwete baada ya kufungua mkutano wa Siku Tatu wa Wahandisi na Wakandarasi katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam Sept.5.2011. PICHA/MWANAKOMBO JUMAA WA MAELEZO

No comments: