Tangazo

September 16, 2011

Ujumbe wa Zantel wampa pole Rais wa Zanzibar Dk. Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya kampuni ya Zantel, Essa Al Haddad akiongoza ujumbe wa bodi hiyo walipofika Ikulu mjini Zanzibar juzi kumpa pole Rais, kutokana na ajali ya kuzama kwa Meli ya MV Spice Islanders, iliyokuwa ikielekeakisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya kampuni ya Zantel walipofika Ikulu mjini Zanzibar kumpa pole Rais, kutokana na ajali ya kuzama kwa Meli ya MV Spice Islander, iliyokuwa ikielekea kisiwani Pemba.

No comments: