Tangazo

October 17, 2011

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUNAWA MIKONO DUNUANI

Baadhi ya watoto pamoja na Wanafunzi wa Shule mbalimbali za Mkoa wa Dar es Salaam wakipita mbele ya mgeni rasmi  Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (hayupo pichani) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kunawa Mikono Duniani yaliyofanyika katika Viwanja vya Karimjee jijini Oktoba 15,2011. (Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)
Picha ya pamoja na mgeni rasmi Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Bi. Blandina Nyoni  pamoja na wawakilishi wa watoto waliokuwepo kwenye maadhimisho hayo.
Wasanii wakionyesha umahiriwao wa kucheza ngoma za asili.
Wasanii wa Kikundi cha Orijino Komedi kikionyesha zoezi la kunawa mikono wakati wa maadhimisho hayo.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwaonyesha watoto mfano wa jinsi ya kunawa mikono kwa sabuni wakati wa maadhimisho hayo.
Watu wakinawa mikono ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku hiyo.
Burudani.

No comments: