Tangazo

October 18, 2011

MAMA SALMA KIKWETE AUAGA MWILI WA MAREHEMU MAMA HAN BING JIJINI DAR

Picha Marehemu Han Bing. 
Waombolezaji wakiwa na majonzi.
Mmoja wa Wanafamilia akimbembeleza mtoto wa marehemu, lady Han Bing.
Kamanda  wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akiwapa pole wana jumuiya ya wachina waishio Tanzania jijini Dra es Salaam wakati walipokwenda kuaga mwili wa Mama Han Bing alieuwawa na majambazi Oktoba 11. 2011.
Wanajumuiya ya Wachina wanaishi Tanzania wakiwa kwenye Misa.
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akimpa pole mume wa marehemu.
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete   akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Mama Han Bing ambaye ni mke wa Mwenyekiti wa  Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kichina nchini Tanzania aliefariki Oktoba 11, 2011 jijini Dar es Salaam kwa kuuwawa na majambazi wasiojulikana. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
Mama Salma Kikwete akiwa katika misa pamoja  na viongozi mbalimbali.
Baadhi ya ndugu wa karibu wakiomboleza. Kushoto ni Mume wa marehemu, Mr. Bing.

No comments: