Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Petrobras, Bw. Fernando Jose Cunha (kushoto kwake) kwenye Ofisini kuu ya kampuni hiyo, Rio de Janeiro akiwa katika ziara ya kikazi nchini Brazil Oktoba 7,2011. Kampuni hiyo imekwishaanza kutafuta mafuta kwenye pwani ya Mtwara. Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri wa Ardhi, Maendeleo ya Makazi, Maji na Madini wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Ali Juma Shamuhuna, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment