Tangazo

October 15, 2011

Ziara ya Waziri Mkuu Pinda nchini Marekani

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Rais wa zamani wa Brazil, Luiz Lula baada ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya Marriott katika mji wa Des Moines, Iowa, Marekani juzi October 13, 2011. Baadae Rais huyo alitunukiwa nishani ya Food Prize.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Rais wa World Food Prize, Balozi Kenneth Quinn wakifurahia baada ya Waziri Mkuu kutoa salamu za Rais Jakaya Kikwete kwenye Mkutano wa World Food Prize kwenye hoteli Marriott aktika mji wa Des Moines, Iowa, Marekani juzi October 13,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments: