Tangazo

November 4, 2011

Benki ya NMB yaipiga 'Jeki' Taifa Stars

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Iman Kajura (kushoto), akikabidhi sehemu ya vifaa vya michezo vya timu ya Taifa 'Taifa Stars' kwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Angetile Osiah, kwa ajili ya mechi yao ya kuwania kucheza kombe la Dunia dhidi ya Chad, itakayofanyika huko Chad Novemba 11. 2011. Kulia ni Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura. Vifaa hivyo vyenye thamani ya 9,000,000/-  ni pamoja na jezi, viatu, mabegi, vizuia ugoko n.k.

No comments: