Tangazo

November 4, 2011

Waziri Membe afunga Mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kazi Maafisa Waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Nje

Waziri wa  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe (watano kutoka kushoto mstari wa mbele ) akiwa katika picha ya pamoja na maafisa waandamizi wa ofisi za balozi za Tanzania na maafisa wa wizara hiyo waliomaliza mafunzo ya wiki tatu ya kuwajengea uwezo wa kazi yaliandaliwa na Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam. 

Waziri wa  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akimkabidhi  cheti cha kuhitimu mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kazi maafisa waandamizi wa wizara hiyo, Matlida Masuka ambaye ni mfanyakazi wa ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini China. Mafunzo hayo ya wiki tatu  yaliandaliwa na Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam.  

Waziri wa  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akimkabidhi  cheti cha kuhitimu mafunzo ya  kuwajengea uwezo wa kazi maafisa waandamizi wa wizara hiyo, Judica Nagunwa  ambaye ni mfanyakazi wa ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa. Mafunzo hayo ya wiki tatu  yaliandaliwa na Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam.
 

Waziri wa  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akimkabidhi  cheti cha kuhitimu mafunzo ya  kuwajengea uwezo wa kazi maafisa waandamizi wa wizara hiyo Innocent Shiyo  ambaye ni mfanyakazi wa ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya. Mafunzo hayo ya wiki tatu  yaliandaliwa na Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam.  

Waziri wa  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akimkabidhi  cheti cha kuhitimu mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kazi maafisa waandamizi wa wizara hiyo Abdallah Kilima   ambaye ni mfanyakazi wa ofisi ya Ubalozi wa Tanzania katika nchi za falme ya Kiarabu. Mafunzo hayo ya wiki tatu  yaliandaliwa na Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam.  

Baadhi ya washiriki wa  mafunzo ya wiki tatu ya  kuwajengea uwezo wa kazi maafisa waandamizi wa wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakimsikiliza Waziri wa wizara hiyo Bernard Membe  (hayupo pichani) wakati akifunga mafunzo hayo. Washiriki wa mafunzo hayo ni maafisa waandamizi wa ofisi za balozi za Tanzania na maafisa wa wizara hiyo. Picha zote na Anna Nkinda - Maelezo

No comments: