WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA AIRTEL TANZANIA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel, Sam Elangalloor kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Da es Salaam leo Novemba 7, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel, Sam Elangalloor, Ofisini kwake jijini Da es salaam Novemba leo 7, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Overseas Infrastructure Alliasnces (India) Private Limited, Balozi V. B. Soni kabla ya mazungumzo yao ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo Novemba 7, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment